Mwigizaji wa filamu na mtayarishaji, Jacob Stephen ‘JB’ Ijumaa hii amenusurika kifo katika ajali ya gari. Mwigizaji huyo ambaye hivi karibuni alikuwa mkoani Arusha katika shindano la Mama Shujaa, ame…
Msanii wa Bongo Movie asema yuko tayari kumzalia Nay wa Mitego!
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amesema kuwa yuko tayari kubeba ujauzito wa mpenzi wake, Nay Wa Mitego endapo wawili hao watakubaliana kupata mtoto. Baada ya kukiri kuwa kwenye uhusiano, Shamsa …
New Music: Nakaaya f/ Dunga - Utu Uzima Dawa
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Nakaaya Sumari ameachia ngoma mpya kabisa akiwa amemshirikisha Dunga. Wimbo huu umetengenezwa na Lamar. Wimbo huu unaitwa Utu Uzima Dawa, unapatikana kwenye Mkito.com. Enjoy muziki mzuri kutoka kwa …
Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye uk…
Mwimbaji wa ‘Amarulah’ Roberto wa Zambia kufanya show Tanzania, October 3
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Zambia, Roberto anayetamba na hit song yake ya ‘Amarulah’ anatarajiwa kutua Tanzania mwezi ujao (October) kwaajili ya kufanya show itakayofanyika jijini Mwanza. Kupiti Instagram, msanii huy…
Siasa: Diamond na Nay wa Mitego warushiana vijembe!
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Kampeni za uchaguzi zimewatengenisha maswahiba kwenye muziki, Nay wa Mitego na Diamond Platnumz. Wawili hao waliohit na wimbo wao ‘Muziki Gani’ wapo kwenye kampeni za pande mbili zenye nguvu kwenye u…
Ulaji wa ndizi 6 kwa mpigo unaua? Hii inaweza ikawa sababu ya ndizi kusababisha kifo kwa mlaji?
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Imeandikwa na BBC.com Mara nyingine husemekana kwamba ulaji wa ndizi nyingi kupita kiasi kwa mpigo unaweza kuhatarisha maisha yako. Imedaiwa zaidi kwamba ulaji wa zaidi ya ndizi sita kwa mpigo unawe…
Mayweather amdunda Berto na kustaafu ndondi akiwa na rekodi ya kutowahi kupigwa, 49-0
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Floyd Mayweather amemdunda Andre Berto kwa pointi kwenye pambano lao lililofanyika alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki jijini Las Vegas kwenye ukumbi wa MGM Grand. Mayweather, 38, alishinda k…
New Music: Godzilla - Staaay
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Download hapa: Godzilla - Staaay.mp3 Bonyeza hiyo link, ikishafunguka utakutana na kitufe cha manjano kimeandikwa "Download now" upande wa kulia kwako. Tafadhali usibonyeze kitufe cheusi kilichoandi…
New Music: Roma - Viva Roma Viva
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Download hapa: Roma - Viva Roma Viva.mp3 Bonyeza hiyo link, ikishafunguka utakutana na kitufe cha manjano kimeandikwa "Download now" upande wa kulia kwako. Tafadhali usibonyeze kitufe cheusi kilicho…
Utata kwenye nyumba aliyojenga msanii wa Bongo Movie, Lulu!
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Hali si shwari! Mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ uliopo Kimara Saranga, Dar ambao alisema amemzawadia mama yake mzazi, Lucresia Karugila, umezua utata baada ya madai kwamba et…
New Music: Wiz Khalifa f/ Rae Sremmurd - Burn Slow
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Wiz Khalifa Ft. Rae Sremmurd - Burn Slow (CDQ).mp3 var zippywww='www68';var zippyfile='8DfOmSfA';var zippydown='ffffff';var zippyfront='00000';var zippyback='ffffff';var zippylight='000000';var zippy…
Unawajua wasanii hawa nane walioiweka Tanzania kwenye ramani ya kimataifa mwaka 2015?
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Imeandikwa na Fredrick Bundala wa Bongo5: Tupo kwenye robo ya tatu ya mwaka 2015, mengi yamekwishatokea na yanaendelea kutokea. Macho na masikio ya watanzania wengi kwa sasa yapo kwenye masuala ya k…
Studios Zimetema: Nyimbo Kali Mpya za Bongo Flava Zilizotoka Wiki Hii ‘15 mpaka 21 Agosti’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa…
Kanisa Lakataa Kumbatiza Mtoto wa Aunty Ezekiel Kwa Sababu Hii...
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa. Tukio hilo limetokea hivi karibuni mara baada ya mwigizaji huyo ambaye imani y…
Baadhi ya Wasanii wa Bongo Movies Wazindua Kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao. Kwa mujib…
Inasemekana Jokate alienda kumtambulisha Ali Kiba kwao, hiki ndo kilichotokea...
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Imevuja! Gumzo la ndoa ya staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ inadaiwa kupigwa zengwe kama ilivyowahi kutokea kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Pl…
Throwback: Picha ya pamoja ya Ray C, Lady Jaydee na Masoud Kipanya [zaidi ya miaka 10 iliyopita]
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
How are yall doing? Kama kawaida kila siku ya Alhamis kama leo nakuletea ‘Throwback’. Segment hii ina dhumuni la kukurudisha nyuma miaka kadhaa aidha kwa kuona picha ya zamani ya mtu maarufu, kusikiz…
Hii hapa Filamu kali iliyoongoza kwa mauzo wiki iliyopita, imeingiza zaidi ya $226 million
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Ant-Man ni filamu ya Kimarekani ya superhero ya mwaka 2015 ambayo inahusisha wahusika wa Marvel Comics. Filamu hii imesambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures. Filamu imeongozwa na Peyton Reed…
Ulikuwa unajua ‘facts’ hizi? Zisome ujifunze kitu kipya!
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Kuna vitu au mambo mengi huwa yanatupita, kuyajua mambo hayo huwa yanaleta matokeo tofauti tofauti. Yanaweza kukujenga, kukuharibu, kukufurahisha and so on. Mambo haya pia yanaweza yakawa history a…
Shilole ataja sababu ya kuachana na Nuh Mziwanda
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana. “Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanz…