How are yall doing? Kama kawaida kila siku ya Alhamis kama leo nakuletea ‘Throwback’. Segment hii ina dhumuni la kukurudisha nyuma miaka kadhaa aidha kwa kuona picha ya zamani ya mtu maarufu, kusikiza/kutazama wimbo wa zamani au kusoma story ulowahi kuisikia zamani.
Wiki hii tuangalie picha itakayokushangaza kidogo, ambayo inasemekana imepigwa miaka ya mwanzo ya 2000 hivi. Picha hiyo inawaonesha wasanii wa kike wa Bongo flava, Lady Jaydee na Ray C wakiwa wamekumbatiana huku wakiwepo na Cartoonist Masoud Kipanya. Angalia picha hiyo hapa (chini):
Hahaa inafurahisha sana, right? Angalia mavazi yao kipindi kile na hizo pozi aisee!!! Jaribu hata wewe hapo chukua picha zako za zamani uziangalie utatamani uzichane kusema kweli.
Anyways, make sure kila siku alhamis hukosi kupitia mtandao huu wa Keezywear kwa ajili ya kutazama picha mbalimbali aka zilipendwa kwenye category hii ya Throwback. Pia kama wewe ni mtu maarufu unaweza ukashare na mimi picha zako za zamani ili watu wazioneeee!!!

Ray C (kushoto), Jide (katikati) na Kipanya (kulia), zaidi ya miaka 10 iliyopita.