Kama alivyoahidi, AY ameachia tayari ngoma yake mpya aliyoipa jina ‘Asante’. Ngoma hiyo kwanza ilitambulishwa na AY mwenyewe kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm jana mchana.
Ahsante ni wimbo mzuri sana, ambapo ndani yake ameshirikishwa mwanadada Dela kutoka Kenya. Na kingine ni kwamba, kwenye outro amesikika Diamond Platnumz. Ngoma imefanywa MJ Recs na Marcochali.
Download au sikiliza wimbo wa ‘AY ft Dela - Asante’ hapa:
Artwork cover ya wimbo wa AY - Asante
Download au sikiliza wimbo wa ‘AY ft Dela - Asante’ hapa: