Anaenda kwa jina la Collin Jason aka JC (@africanbadboy). Jamaa alianza kufanya Poetry mwaka 2008 na anakiri kwamba mazoezi yalimfanya azidi kuwa mkali zaidi kwenye upande wa michano ya Hip Hop. Alianza kurecord Overated Mixtape mwaka 2011 na kiukweli ina ngoma 10 kali sana.
JC amewapa shavu baadhi ya wasanii katika Mixtape hii ya Overated, wasanii kama Cindy Rulz, Country Boy, GMG na wengine wamesikika humo. About 85% of the Mixtape, hawa jamaa wamerhyme kwa kiingereza but utaifurahia sana, I just downloaded it! JC ni rapper mkali sana, lets support good music from TZdian boy hapo chini!!
Download Mixtape | Free Mixtapes Powered by DatPiff.com
Overated Mixtape Cover
Isikilize au Download hapa Overated Mixtape ya JC hapa:
Download Mixtape | Free Mixtapes Powered by DatPiff.com