Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Madee ft. P-Unit & Dijah - Pombe Yangu Remix (Audio)
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Pombe Yangu Remix ndio ngoma itakayosumbua kwenye speakers za radio yako popote utakapokuwepo! Nasema hivyo kwasababu ni boooonge la ngoma. ...
Pombe Yangu Remix ndio ngoma itakayosumbua kwenye speakers za radio yako popote utakapokuwepo! Nasema hivyo kwasababu ni boooonge la ngoma. Nahisi vocals zimefanyika hapa hapa Dar, but am not sure!
Msanii wa Bongo flava, Madee

Ndani ya wimbo huu wamesikika kwa uzuri kabisa P-Unit kutoka Kenya pamoja na sauti nzuri ya Dijah (ikiitikia sio mimi eeeh) basi hapo ndio Pombe Yangu Remix iliponoga! Sikiliza pia hiyo outro sasa ya Madee, maneno yake sasaaa!!!

Download au sikiliza wimbo wa Madee ft P-Unit & Dijah - Pombe Yangu Remix

Author

Advertisement

 
Top