Mkali wa Bongoflava ambaye ni maji vuguvugu kwa maana anarap na anaimba, Nay wa Mitego ameamua kuja na muonekano mpya mwaka huu wa 2015. Msanii huyo anayetesa na wimbo wa Akadumba kwa sasa ameachia picha kadhaa.
Picha hizo zinaonesha mabadiliko yake ya style ya nywele, mie naiita hii style Kinywele Kimoja. Tazama picha zingine halafu ujiulize, imemtoa poa? Kapendeza? Tazama hapa picha zingine:
Nay wa Mitego |