Mtandao mkubwa nchini Marekani, Rap Genius ambao unaprovide Lyrics (mashairi ya nyimbo mbalimbali) na possible meanings (maana) zake umeachia orodha ya wasanii na nyimbo ambazo zimetafutwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao huo.
Kupitia Sammisago, ambaye ameorodhesha orodha ya nyimbo hizo na wasanii hao nikaona sio mbaya nikashare na wewe ujionee. Sammisago ameandika hivi:
“Rap Genius wametangaza rasmi kuwa rapper Drake ndio msanii aliyefuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao wa mashairi. Ukizingatia Drake hajatoa album 2014, ameweza kuwa juu ya wasanii wakubwa kama Eminem, Kendrick Lamar, Kanye West, Lil Wayne na J. Cole.
Pia wimbo uliofuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao ni wa Beyonce na Jay Z “Drunk in Love”.
MOST VIEWED SONGS IN 2014:
MOST VIEWED ARTISTS IN 2014:

- Beyonce ft Jay Z – “Drunk In Love”
- Eminem – “Rap God”
- Bobby Shmurda – “Hot Nigga”
- Rich Gang – “Lifestyle”
- Beyonce – “Partition”
- Drake – “0-100/The Catch Up”
- Lil Wayne ft. Drake – “Believe Me”
- The Weeknd ft. Ty Dolla $ign & Wiz Khalifa- “Or Nah Remix”
- Kendrick Lamar ft. MC Eiht – “m.A.A.d city”
- Big Sean ft. E-40 – “I Don’t Fuck With You”
MOST VIEWED ARTISTS IN 2014:
- Drake
- Eminem
- Beyonce
- Kanye West
- Kendrick Lamar
- Childish Gambino
- Jay Z
- Lil Wayne
- J. Cole
- The Weeknd”