Hakuna sababu ya kutosikiliza wimbo huu wa Young Dee akiwa amewashirikisha Mwana FA na Ben Pol kwasababu ni bonge la collabo! Wimbo huu unaitwa Fununu ambao ndani yake Ben Pol ametia Chorus na FA ametia Verse ya mwisho!
Idea ya wimbo huu nimeipenda sana, kwamba mambo mengi tunayoyasikia huwa hatuna uhakika nayo ndio maana yanakuwa Fununu. So Young Dee na FA wamejaribu kuchambua baadhi ya mambo katika mtiririko unaoleta ladha tamu na muziki mzuri.
Download au Sikiliza wimbo huu hapa: