Mtalam III Mtalam III Author
Title: Song: Leo Mysterio - Sielewi ‘Skelewu Remix’
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Bongo Flava, Leo Mysterio ameachia ngoma mpya, Sielewi (Skelewu Remix) . First time nilisikia original version ya Skelewu ya D...
Msanii wa Bongo Flava, Leo Mysterio ameachia ngoma mpya, Sielewi (Skelewu Remix). First time nilisikia original version ya Skelewu ya Davido (Nigeria) na nikasema hii ngoma ni kali, wiki chache baadae nikasikia anakuja Bongo kwa ajili ya Fiesta ambayo ilifanyika october.
Kutokana na ukubwa wa wimbo huo, msanii mwingine wa Bongo Flava, Nash Designer alitoa Remix yake kwa maana alitumia Beat ya wimbo huo wa Davido na kuweka mashairi yake. Lakini niamini mimi hii aliyofanya Leo Mysterio (Uprising Recs) ni kali kuliko zoteee!

Download au sikiliza wimbo huo hapa:

Author

Advertisement

 
Top