Godzilla ni msanii mkali sana, kukuhakikishia hilo nataka usikilize wimbo huu ambao (King Zillah) amepita juu ya Beat ya Jay Z ft Rick Ross - F**k With Me You Know I got It utasadiki nachosema. He got everything, swagg, lyrics na flow za hatari.
Kwa jinsi nilivyoisikiliza nimegundua Godzilla anaandaa Mixtape yake mpya inayoitwa Zizi na hii ndio ngoma ya kwanza. Mtayarishaji wa wimbo huu ambao sio rasmi (unofficial song) ni Producer Mswaki.
Download au Sikiliza wimbo huu hapa: