Mtalam III Mtalam III Author
Title: Agness Masogange’s back: Angalia picha hizi akiwa kwenye mavazi ya kuogelea
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Agness Masogange ’ s in TZ now na anaenjoy uhuru wake baada ya kuwa kwenye kifungo nchini Afrika Kusini.  Yeye na mwenzake, Melissa walikum...
Agness Masoganges in TZ now na anaenjoy uhuru wake baada ya kuwa kwenye kifungo nchini Afrika Kusini. Yeye na mwenzake, Melissa walikumbwa na inshu ya madawa ya kulevya. 
Angalia baadhi ya picha za Agness Masogange akiwa kwenye kivazi cha kuogelea ambayo kidogo imewakera baadhi ya watu. Baadhi ya watu walianza kumshambulia kwa maneno makali.

Masogange aliwajibu: 
Hii ni akaunti yangu, nina uhuru wa kuweka picha ya aina yoyote. Kama mtu anaona nimemkera basi ‘aniblock’ maana hapa nimevaa mavazi ya kuogelea sasa mlitaka nivae pensi niogelee nayo? Simuogopi mtu....

I love em photos!!! Isnt she hot???


Like Keezywear on Facebook!

Author

Advertisement

 
Top