Mtayarishaji na msanii mkali wa muziki Tanzania, Rahim Nanji maarufu zaidi kama Bob Junior, jana imekuwa ni zamu yake kuingia katika kikaango cha ukurasa wa fb wa EATV, kuchat pamoja na mashabiki wake ambao ni wapenzi wa ukurasa huo.
Hii ni kupitia kipengele cha Kikaangoni Live, Bob Junior ameweza kushiriki kikamilifu kuchat na mashabiki wake na kufurahia mno kupata fursa hii adimu. Unaweza ukawa ushahisi ni swali gani hasa jamaa alikuwa anaulizwa, hili hapa:
Katika kipengele ambacho pengine wengi walikuwa wanapenda kusikia maelezo ya Bob Junior kuhisiana na yeye kuachana na mke wake, Bob Junior kupitia Kikaangoni Live amesema kuwa haya ni mambo ya kifamilia tu ambayo taarifa zake za ndani kabisa hangependa kuziweka hadharani.
Source: EATV
Like Keezywear on Facebook!