Prince Dully Sykes amerudi na wimbo mpya sasa, unaitwa Togola. Balaa lake ni lile lile, ni wimbo flani wa kuchezeka dizaini zile za Bongofleva na zingine.
Togola ni neno la Kibondei, mwenyewe alifafanua. Wimbo mzuri ambao ameutengeneza mwenyewe, ni muhimu kuuweka kwenye Playlist yako kama unapenda burudani ya ukweli.