Hotel za aina hii si ngeni katika ulimwengu wa kifahari, basi if unahisi Manta Resort ni nouma basi angalia these 6 underwater hotels hapa:
1. Water Discus Hotel, Dubai.
Dubai kama panavyojulikana na watu wengi kuwa ndiyo makao makuu ya dunia ya sehemu za kifahari, kwa hiyo siyo jambo la kushangaza kuwa na moja kati ya undersea hotel kubwa zaidi duniani.
Water Discus iko na sehemu ya juu ya maji na chini ya maji, undersea kuna 21 luxe rooms, a lavish lobby and a training pool for scuba diving.
2. Utter Inn, Sweden.
Nusu ya hotel hii ipo juu na inaonekana kama kijumba chekundu kinachoelea juu ya Ziwa Mälaren in Vasteras. Na wageni hulazimika kushuka ngazi kwenda chini kufikia vyumba vya kupumzika vilivyo chini. Gharama yake hapa starting at $1,750 for seven nights.
3. Shimao Wonderland, China.
Hotel hii ya Shanghai ilipangwa kukamilika na kufunguliwa mwaka huu, ingawa sivyo inavyoonekana licha ya kuwa ujenzi unaendelea. Katika plan ya hotel ya pangoni, kutakuwa na floor 2 zitakazokuwa chini ya maji.
The underwater portion itakuwa na water sports complex, spa, swimming pool, restaurant and guest rooms that face a "themed" aquarium. The section on terra firma will offer extreme sports, such as rock climbing and bungee jumping over the quarry.
3. Conrad Maldives Rangali Islands, Maldives.
"Imagine telling your friends that you celebrated your love under the water in the world's only glass underwater chapel located five meters below the waves, surrounded by a vibrant coral reef!" Hivyo ndivyo website ya Rangali Island inavyojitapa, lakini hebu just imagine, isn't that awesome....!!
Hotel hii ya kifahari ya nyota 6 kwa sehemu kubwa ipo juu ya ardhi katika visiwa viwili, vilivyounganishwa na daraja la urefu wa mita 500 lililo chini ya maji. Ni katika daraja hili ambapo kuna the fancy Ithaa Undersea Restaurant, ambapo wageni wanaweza kukaa na kupata chakula. Hotel hii inayomilikiwa na Hilton Hotels wanabadilisha restaurant hii kwa matumizi mengine kama sherehe za harusi.
5. Poseidon Undersea Resort, Fiji.
L. Bruce Jones, Rais wa U.S. Submarines, amekuwa kwenye project hii ya Poseidon Undersea Resort kwa zaidi muongo. The five-star hotel is set to be built on a 225-acre private island in Fiji, surrounded by a 5,000 acre lagoon.
Hotel hii ambayo bado haijafunguliwa ingawa watu zaidi ya 150,000 wameshafanya booking kupitia website ya hotel inatarajiwa kuwa na gharama ya kuanzia $15,000 for an underwater package. Package hiyo itahusisha; piloting a personal Triton submarine, scuba diving in the lagoon's clear water and riding as a passenger on a 1,000-foot luxury submersible.
6. Jules' Undersea Lodge, Florida.
Hotel hii ilijengwa 1970s as a "mobile undersea habitat," na katika miaka ya 1980 ndio ilibadilishwa kuwa hotel.
"When guests visit Jules' Undersea Lodge in Key Largo, Florida, they discover that the name is no marketing gimmick,"...... "Just to enter the Lodge, one must actually scuba dive 21 feet beneath the surface of the sea." Hayo ni maneno yaliyo kwenye website ya lodge hii.Per-night rates range from $675 per person for single occupancy to $300 a pop for larger groups. Jules pia inatoa huduma ya underwater weddings.