Hakuna shaka kuwa, picha ya Prezzo akiwa na mrembo wake mpya, Mtanzania, Starlisha Tillya aka Chagga Barbie, imemkwaza, Huddah Monroe ambaye anadaiwa kuwa X wa rapper huyo wa Kenya.
Moto huo ulianza baada ya jana Rapcelleny kuweka picha kwenye Instagram akiwa na mrembo huyo na kuandika maneno haya ambayo yamemgusa sana Huddah:
“Funny how sme past dnt wanna be tense...... Welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl #UnRulyPreStar #Rapcellency”
Kauli na picha hiyo haikumuingia vyema Huddah Monroe ambaye aliamua kumrushia mzinga wa matusi rapper huyo ikiwa ni pamoja na kumwambia hana lolote, (see photo).
“Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254, Broke as he'll still living under ya moms roof..... Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”
Source: Times fm Blog & Daily Post.
Like Keezywear on Facebook!