Artwork cover ya wimbo mpya wa Jux, Nitasubiri
Song: Jux - Nitasubiri
Wimbo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, Nitasubiri by Jux umetoka rasmi leo. I know watu weeengi walikuwa wanangoja kusikia Jux atakuja na nini (hata mimi pia) na acha nikwambie kitu, jamaa hajatuangusha.
Wimbo huu umetayarishwa na Bob Manecky ndani ya Studios za AM Recs. Unaambiwa wimbo huu hauhusiani na Jacky Cliff, Jux amesema ameimba kutokana na feelings alizokuwa nazo wakati yupo studio. Download au Sikiliza wimbo huu hapa: