Msanii mwenye mashabiki wengi zaidi Afrika Mashariki, Diamond Platnumz aliwasili jana asubuhi akitokea nchini Marekani baada ya kuchukua tuzo zilizokuwa zinatolewa na AFRIMMA.
Diamond alipata mapokezi yakishujaa, kutoka Airport mpaka nyumbani kwake. Tazama picha zote wakati wa mapokezi yake, mabango na ujumbe huu aliouandika wakati yuko njiani kuja TZ:
Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"
Diamond akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kuwasili JKN International Airport