Msanii wa Hiphop nchini Marekani, Future ni miongoni mwa wasanii ambao wanatajwa kuwa walitoka
kwenye game kwa bahati baada ya kukubalika kwa kazi zao mtaani. Future
alisikika kwa mara ya kwanza kwenye radio na tv kubwa kupitia wimbo wake
wa Same Dam Time.
Habari mpya kuhusu msanii huyu zinahusu kuvunja
uchumba wake na msanii mwenzake ambaye ni Ciara na kuanzisha mahusiano
na binti anayefahamika kama Tyrina Lee ambaye ni mbunifu wa mavazi wa
Future.
Hii imetajwa kuwa ni tabia ya msanii Future pale anapopata mtoto na
mpenzi wake humwacha na kuanzisha mahusiano na mtu mwingine, mpaka sasa
Future ana watoto watatu na wote wana Mama tofauti, mtoto wa Ciara ni
wanne.
Ripoti zinasema Future aliachana na Ciara kabla hata hajajifungua mtoto wake. Future ameonekana na binti huyu kwenye tour zake, hotelini na shopping malls kubwa ambazo binti huyu mpya kwenye maisha yake hufanya shopping na gharama hulipwa na Future.
Habari hii imeandikwa pia kwenye mtandao wa sammisago.com.
Future & Ciara
Tyrina Lee