Rapper wa kike Iggy Azalea
anayetamba na nyimbo kama Fancy na No Mediocre ambayo ameshirikishwa na
boss wake T.I. amepata nafasi ya kuonyesha kipaji chake cha kuigiza
kwenye filamu kubwa ya Fast & Furious 7.
Kama ulifuatilia vizuri
Fast & Furious 6 ilikuwa na msanii kutoka Uingereza Rita Ora. Habari hizi nzuri kwa wapenzi wa filamu zimetangazwa na mwigizaji Vin
Diesel.
Vin mara nyingi hufanyiwa Interview kuhusu hizi filamu. Interview hii amefanyiwa na Skyrock Fm. Fast & Furious 7 inategemewa kutoka April 03, 2015 na itahusisha mastar kama Vin, Ludacris, Iggy Azalea, Paul Walker (RIP), Tyrese na wengine wengi.
Vin Diesel & Iggy Azalea