Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki
wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Profesa Jay Mpya, Jay
Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira.
Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC. Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy.