Sasa kupitia akaunti yake ya Instagram, Norah alishare video fupi akikanusha kupigwa na kusema Ray C hawezi kumpiga hata siku moja.
Norah aliendelea kusema kwamba Ray C ni dada yake na wanapendana sana, anashangaa kwanini habari hizo zimesambaa. Mwisho akamalizia, ‘Udaku noma’. Unaweza kutazama video hiyo hapa.