Mtalam III Mtalam III Author
Title: Song: DJ Choka ft M Rap, Janjaro, Pluto, Country Boi, Ms Rizzy & Young Dee - Stinga Li
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
DJ Choka ameachia ngoma yake ambayo inaitwa Stinga Li akiwa amewashirikisha wasanii mbalimbali. Bado sijapata nafasi ya kuweza kung'am...
DJ Choka ameachia ngoma yake ambayo inaitwa Stinga Li akiwa amewashirikisha wasanii mbalimbali. Bado sijapata nafasi ya kuweza kung'amua vizuri maana ya jina la wimbo huo!
Wimbo umefanywa na Pancho Latino, Bhitz Studios! Kupitia wimbo huu pia DJ Choka ameamua kumtambulisha msanii mpya anayeitwa Ms Rizzy and she did well in this track!

Download au Sikiliza wimbo huo hapa:

Author

Advertisement

 
Top