Kutakuwepo pia wasanii watakaosindikiza tukio hilo kama kawaida. Mtandao wa Millardayo umewataja wasanii watakaoperform kwenye The Grammy Awards. Mtandao huo uliandika orodha ya kwanza ya wasanii watakaopanda jukwaani:
"Sherehe ya tuzo za 57 za Grammy zinatarajia kufanyika hivi karibuni huku baadhi ya mastaa wakitajwa kuperfom katika usiku huo kwenye ukumbi wa Staples center, uliopo Los Angeles, California.
Listi ya kwanza ya wasanii watakaopanda jukwani usiku huo ni pamoja na:
Madonna,
Ariana Grande,
Ed Sheeran,
Eric Church na
Rock Legends.
Sherehe za tuzo hizo zitafanyika February 8, 2015"
Source: Millardayo.