Imetoka ngoma mpya ya kuitwa Thought I Told Ya ambayo ni ya msanii anayejulikana kwa jina la Boshen. Usichanganyikiwe na jina, ni wimbo flani amazing wa Kibongo tu.
Wimbo huu pia umeandaliwa na Pro IDL ndani ya studios za Shega Recs. Unaweza Download au kuusikiliza wimbo huo hapa:
Artwork ya wimbo wa Boshen - Thought I Told Ya |
Wimbo huu pia umeandaliwa na Pro IDL ndani ya studios za Shega Recs. Unaweza Download au kuusikiliza wimbo huo hapa: