Mambo yanazidi kuwa mazito kidogo kwa upande wa Zari toka aanzishe uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongoflava, Diamond. Moja ya kitu ambacho mwanadada huyo anaandamwa nacho ni kwamba hawajali watoto wake.
Hii ni baada ya kuonekana akiwa amegandana sana na Diamond aka Sukari ya Warembo kiasi cha kukacha kuudhuria birthday ya mtoto wake aliyetimiza miaka kadhaa siku chache zilizopita. Mtandao wa Bongo5 umetoa info jinsi mwanadada huyo alivyojibu shutuma hizo za kutowajali watoto wake watatu. Mtandao huo uliandika hivi:
“Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya.
“Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana.
“That awkward moment when everyone thinks you abandoned your kids, so y’all kinda know when it’s my turn or his to have them. Smh,” alitweet. “I love my soldiers. Out of the 356 days in year am responsible for 300 days and the 65 are his….. take some chill pills. When you see me out and about its my days off…… he takes over as their dad too. How come nobody complains if not seen with the kids?,” amehoji mrembo huyo.
“Isn’t someone supposed to ask, how cme we never see him with the kids? But when it’s mummy. Hell breaks loose. Yep 300 days ain’t bad for me. We both have custody of our soldiers, we both play our roles, We have our arrangements as parents. We are ok so are our soldiers.”
“So next time you see mummy out and about, Just know she has it under control her soldiers are safe and not ABANDONED. AITE?””
Source: Bongo5.
Zari The Boss Lady