Inakuaje jumatano ya leo? Kama wewe ni mpenzi wa Movies na Series basi utakuwa hujakosea kufatilia ‘Movies Territory’ kila siku ya jumatano kwenye mtandao huu. Segment hii itakupa Movies/Series Review, itakufahamisha bajeti ya utengenezaji na mauzo ya Movies/Series husika, itakuonesha Trailers za Upcoming Movies/Series na pia kuwajua waigizaji wa Movies/Series hizo. Hapa nazungumzia zote, za Bongo na nje.
Hii ni Movie mpya itakayotoka hivi karibuni, inaitwa Before I Go To Sleep. Nicole Kidman, Clin Firth na Mark Strong ndio Waigizaji Wakuu katika filamu hiyo. Ni filamu kali sana, hutakiwi kuikosa once it hits the stores! For now, tazama Trailer yake (hapo chini) utaamini ukisomacho: