Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Ben Pol - Unanichora (Audio)
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
‘Unanichora’ is a brand new track from Ben Pol ambaye jana tuu ameachia album yake yenye nyimbo 20 ukiwepo huu. Ben Pol amekuwa na rekodi nz...
‘Unanichora’ is a brand new track from Ben Pol ambaye jana tuu ameachia album yake yenye nyimbo 20 ukiwepo huu. Ben Pol amekuwa na rekodi nzuri ya kufanya vizuri kwenye kila wimbo anaotoa (hitsongs maker)
Msanii wa Bongo flava, Ben Pol

Kwenye ngoma hii, Unanichora ambayo imetengenezwa na Fundi Samwel, Ben amemzungumzia mwanamke wake ambaye anajua vitu vingi kuhusu yeye lakini amekausha kimya anamchora tuu. Wimbo mzuri, uimbaji wenye vina vilivyopangika na sauti ya Ben unaijua mwenyewe.

Download au Sikiliza wimbo huo hapa:

Author

Advertisement

 
Top