Keezywear Editor Keezywear Editor Author
Title: Ulikuwa unajua ‘facts’ hizi? Zisome ujifunze kitu kipya!
Author: Keezywear Editor
Rating 5 of 5 Des:
Kuna vitu au mambo mengi huwa yanatupita, kuyajua mambo hayo huwa yanaleta matokeo tofauti tofauti. Yanaweza kukujenga, kukuharibu, kukuf...
Kuna vitu au mambo mengi huwa yanatupita, kuyajua mambo hayo huwa yanaleta matokeo tofauti tofauti. Yanaweza kukujenga, kukuharibu, kukufurahisha and so on.

Mambo haya pia yanaweza yakawa history au facts which make sense! Ngoja nikupe baadhi ya mambo unayopaswa kuyajua ili uianze siku yako ukiwa umejifunza kitu kupitia Keezywear.com.

Kila mwaka miandiko mibaya (micharazo) ya Madaktari husababisha vifo 7,000.
Kadri unavyomuongelea mtu flani kwa watu wengine, ndivyo unazidi kumpenda mtu huyo.

Kamwe usimdanganye mtu anayekuamini, na usimuamini mtu anayekudanganyaga mara kwa mara.
95% ya watu wameshawahi kudondokewa na simu kwenye nyuso zao wakati wanatuma meseji wakiwa kitandani.
Watu wanaocheza zaidi wana uwezo wa kuvumilia maumivu vizuri zaidi, vyote kimwili na kihisia.
Matendo huongea kwa sauti kubwa zaidi ya maneno. Tunaweza kuomba msamaha mara kwa mara, lakini kam matendo yetu hayatabadilika, maneno yanakuwa hayana maana.
Kuna kijiji kipo Uingereza kinaitwa Bitchland.

Author

Advertisement

 
Top