Menina ambaye alianza kupata umaarufu kwenye shindano ya kutafuta vipaji, Bongo Star Search ameachia wimbo mpya, Pipi ya Kijiti. Wimbo huu umekuja baada ya ule wa Kacopy Kapaste kufanya poa Afrika Mashariki kwa Ujumla.
Wimbo huu mpya umetengenezwa na Manecky kwenye studios za A.M Recs. Unaweza ukaudownload hapa:
Wimbo huu mpya umetengenezwa na Manecky kwenye studios za A.M Recs. Unaweza ukaudownload hapa: