Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai
kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda
kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” - Shilole amenukuliwa na eatv.tv akieleza.Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.