Mtalam III Mtalam III Author
Title: Studios Zimetema: Nyimbo mpya za Bongo Flava zilizotoka wiki hii ‘02 mpaka 08 Feb’
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
As usual, every saturday unakutana tena na  Studios Zimetema , kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka nda...
As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa keezywear ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.
Wiki hii (02 mpaka 08 Feb) zimetoka nyimbo chache ukilinganisha na wiki zilizopita, mtandao wako wa keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo chache kali. Zifuatazo ndo nyimbo zilizotoka wiki hii 
(Bonyeza wimbo ili udownload):
  1. Izzo Bizness ft Hanspuff - Tummoghele
  2. Inspector Harun - Haujachelewa
  3. Nikki Mbishi - Utamwambia nini?
  4. Darasa ft Farida - Go hard
  5. Mh. Temba ft Cassim Mganga - Lava Lava
  6. Shilole - Chuna Buzi
  7. Joh Makini, Nikki wa II & G.Nako - Gere
  8. 20 Percent - Subira
  9. D Knob ft Mwasiti - Nishike Mkono
  10. Godzilla - Tungi


Tangazo | Click for more details:

• YS Shower Gels zinauzwa kwa bei nafuu (imported from Malaysia)
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu

Author

Advertisement

 
Top