Mtalam III Mtalam III Author
Title: Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopi...
Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol walipata nafasi ya kipekee ya kutumbuiza.


Sauti Sol wameshare na ulimwengu habari hiyo kupitia Twitter.
“Dreams come true. A picture of us dancing with President Barack Obama has been placed in the The White House You will see it when you take a tour of the West Wing, right near the Oval Office!”

Author

Advertisement

 
Top