Msanii wa Zambia, Roberto anayetamba na hit song yake ya ‘Amarulah’ anatarajiwa kutua Tanzania mwezi ujao (October) kwaajili ya kufanya show itakayofanyika jijini Mwanza. Kupiti Instagram, msanii huyo ambaye anashika chati mbalimbali za Radio na Tv za Tanzania kwa sasa kupitia wimbo huo, anatarajiwa kufanya show Jembe Beach iliyoko Rock City.
Kupitia Instagram yake, Roberto ameandika;
“#Tanzania Am going to be with you 3rd October 2015 in Mwanza Bringing that #Amarulah #WineIt #GoodWoman game to you. @grooveentertainmenttz @hcuedj @hcuedj @jembenijembe @dvjfrank @deejaykflip @dvjbenny”