As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa Keezywear.com ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.
Wiki hii (15 Aug. mpaka 21 Aug.) zimetoka nyimbo chache sana, mtandao wako wa Keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo hizo. Hizi hapa nyimbo zilizotoka wiki hii:
Click a Song to Listen or Download:
- Ben Pol & Thabby Lee - Moja Moja
- Bill Nas ft. T.I.D - Ligi Ndogo
- Momba - Kama Ipo Ipo
- Country Boy - Alright (Swahili Version)
- Nuh Mziwanda - Hadithi
- Bonta Maarifa - Mapenzi Matamu
- Ervixy ft. Belle 9 & Prezzo - Basi
- Stamina ft. Chidi Benz, Nikki Mbishi, Songa, Noorah & Fid Q - Like Father Like Son (Remix)
Keezywear Editor,
2015.