Kichupa kipya hiki hapa kutoka kwa msanii anayeitwa Izone, anayetokea Rock City, Mwanza. Jamaa kaachia kichupa cha wimbo unaoitwa Nipe Nafasi.
Basi tufanye kama wimbo wake unavyosema, tumpe nafasi, angalia kideo hiki kilichotengenezwa na Skillz Videos chini ya Dir. Pizzo Mtena. Audio imefanywa na Tidy Hotter, Itazame hapa!