Mtalam III Mtalam III Author
Title: Izzo Bizness ft. Hanspuff - Tummoghele (Audio)
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Jana ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii mkali wa Bongo flava, Izzo Bizness anayeiwakilisha Mbeya. Nasema ilikuwa siku poa kwa sababu alia...
Jana ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii mkali wa Bongo flava, Izzo Bizness anayeiwakilisha Mbeya. Nasema ilikuwa siku poa kwa sababu aliachia ngoma yake mpya inaitwa Tummoghele ambayo ndani yake amemshirikisha mshikaji wake wa karibu, Hanspuff.
Msanii wa Bongo flava, Izzo Bizness

Unaweza ukawa unajiuliza, huyu jamaa amemaanisha nini kusema Tummoghele? Well hilo ni neno la kinyakyusa lenye maana ya Tumfurahie. Huu ni ujio mzuri kwa Izzo Bizness ambaye alikuwa kimya kidogo, ni wimbo flani wa kuparty. 

Download au sikiliza Tummoghele wa Izzo Bizness ft. Hanspuff hapa:




Tangazo | Click for more details:

• YS Shower Gels zinauzwa kwa bei nafuu (imported from Malaysia)
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu

Author

Advertisement

 
Top