Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya aka Bongo flava, AY anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku si nyingi sana. Kupitia akaunti zake za Instagram na Twitter, AY amepost artwork cover ya wimbo huo sambamba na official drop date of the song.
Kupitia artwork hiyo niliweza kung'amua jina la wimbo huo. Wimbo umepewa jina la ‘Asante’, ambapo ndani yake ameshirikishwa Dela. Pia AY ameamua kuachia wimbo huo terehe 10 feb. 2014 (siku mbili baada ya leo). So stay tuned.
• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu
Artwork cover ya wimbo mpya wa AY, Asante.
Tangazo | Click for more details:
• YS Shower Gels zinauzwa kwa bei nafuu (imported from Malaysia)• Simu aina ya ‘Nokia N9’ Inauzwa kwa bei nafuu