Mtalam III Mtalam III Author
Title: Song: Diamond ft Davido - Number One Remix
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kusubiriwa saaaana, hatimaye Diamond ameamua kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia rasmi ngoma yake aliyomshirikisha Davido k...
Baada ya kusubiriwa saaaana, hatimaye Diamond ameamua kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia rasmi ngoma yake aliyomshirikisha Davido kutoka Nigeria. Wimbo huo ni Number One Remix, kilichoongezeka ni verse na backvocals za Davido tuu kutoka kwenye Number One yenyewe ambayo ilitoka mwaka jana.
Wimbo huu nahisi umefanyika kwa Tudd Thomas na kumaliziwa huko Nigeria (am not sure). Ila kwa ujumla ni wimbo mzuri sana, tulitegemea Diamond hatotuangusha na hakutuangusha kweli. Mawazo kuhusu wimbo huu nitayadrop ijumaa hapa hapa ili Tujadili.

Download au Sikiliza Number One Remix hapa:

Author

Advertisement

 
Top