Mtalam III Mtalam III Author
Title: Wizkid aibuka na kuwachana waandaaji wa BET Awards, asema hatohudhuria tena tuzo hizo kama...
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Nigeria, Wizkid amekua msanii wa pili kuwachana waandaji BET Awards baada ya msanii wa Ghana, Fuse ODG kufanya the same thi...
Msanii wa Nigeria, Wizkid amekua msanii wa pili kuwachana waandaji BET Awards baada ya msanii wa Ghana, Fuse ODG kufanya the same thing. Inaonekana wasanii wa Afrika wanakerwa na ubaguzi unaofanya na kituo hicho cha TV cha watu weusi wa Marekani.

Wizkid anayetamba na ngoma kadhaa kama Show You My Money, Ojuelegba na Expensive Sh*t, amefunguka kwamba hakwenda kwenye ugawaji wa tuzo hizo kwasababu hizi:

Author

Advertisement

 
Top