Mtalam III Mtalam III Author
Title: Msanii kutoka Nigeria, Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Wiz Kid anatarajia kuja Tanzania ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kabisa. Msanii huyo anatamba kwa nyimbo...
Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Wiz Kid anatarajia kuja Tanzania ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kabisa. Msanii huyo anatamba kwa nyimbo zake nyiingii nzuri kama Caro, Azonto, In my Bed na zingine nyingi.
Wizkid

Kupitia tweet aliyoipost muda si mrefu, Wizkid alifunguka juu ya Tour anayotarajia kuianza mwaka huu. Moja ya nchi zitakazopata baraka ya Tour hiyo wa Wizkid ni Tanzania. Hii hapa tweet ya Wizkid na baadhi ya nchi anazotegemea kutembelea:


"Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, South Africa, Congo, Dubai , New York nd the Europe tour! Starboy starting 2015 heavy. Get ready guys !!"

Author

Advertisement

 
Top