Mtalam III Mtalam III Author
Title: The List: Watu maarufu 10 walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2015 (Kwa mujibu wa Forbes)
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu maarufu 100 waliolipwa zaidi mwaka huu 2015. Orodha hii imejumuisha watu maarufu wa fani mbalimbali...
Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu maarufu 100 waliolipwa zaidi mwaka huu 2015. Orodha hii imejumuisha watu maarufu wa fani mbalimbali.

Floyd Mayweather ameongoza kwenye List hiyo. Hata hivyo msanii Katy Perry ameonekana kufanya vizuri kwenye upande wa muziki, huku Cristiano Ronaldo akifanya poa kwenye upande wa football.

Orodha ya kumi bora:

 1. Floyd Mayweather: $300 million
 2. Manny Pacquiao: $160 million
 3. Katy Perry: $135 million
 4. One Direction: $130 million
 5. Howard Stern: $95 million
 6. Garth Brooks: $90 million
 7. James Patterson: $89 million
 8. Robert Downey Jr.: $80 million
 9. Taylor Swift: $80 million
10. Cristiano Ronaldo: $79.5 million

Author

Advertisement

 
Top