As usual, every saturday unakutana tena na Studios Zimetema, kipengele ambacho kinakusanya nyimbo zote mpya za Bongo flava zilizotoka ndani ya wiki (moja) nzima na kuziweka pamoja ndani ya mtandao wa Keezywear.com ili kukuwezesha wewe kuzisikiliza au kudownload kwa pamoja na kwa urahisi.
Wiki hii (27 Jun. mpaka 03 Jul.) zimetoka nyimbo chache sana, mtandao wako wa Keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo hizo. Hizi hapa nyimbo zilizotoka wiki hii:
Click to Listen or Download:
Wiki hii (27 Jun. mpaka 03 Jul.) zimetoka nyimbo chache sana, mtandao wako wa Keezywear umepata nafasi ya kukuwekea nyimbo hizo. Hizi hapa nyimbo zilizotoka wiki hii:
Click to Listen or Download: