Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za
MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa
‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment

Diamond anawania kipengele cha Best African Act, akichuana na
Wizkid (Nigeria),
Patoranking (Nigeria),
Tiwa Savage (Nigeria) na
Active.