
Juzi kwenye ‘Friday Night’ EATV, mkali huyo wa Akadumba amefunguka na kufafanua issue hiyo kuwa:
"Shamsa Ford kiukweli nampenda, ni rafiki yangu ambaye anaipenda familia yangu ndio maana hata wakati mwingine huwa anapost picha akiwa na mtoto wangu. Siwezi kusema kuwa nina mahusiano naye kimapenzi au sina ila kwasababu watu wanataka iwe hivyo basi itabidi nikamilishe".
We unahisi drama au kweli? Mi sijui!