Mtalam III Mtalam III Author
Title: Video mpya ‘Chekecha Cheketua’ ya Ali Kiba kuoneshwa kwenye TRACE Urban kesho!
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Ile video iliyokuwa ikisubiriwa iko njiani kuonekana kwenye kituo kikubwa cha TV. Hapa naizungumzia video ya ‘Chekecha Cheketua’ ya Ali Kib...
Ile video iliyokuwa ikisubiriwa iko njiani kuonekana kwenye kituo kikubwa cha TV. Hapa naizungumzia video ya ‘Chekecha Cheketua’ ya Ali Kiba. Video hiyo kuonekana kesho kwenye kituo cha TRACE URBAN exclusively, yi diiiig???
Kaa karibu na TV yako uitazame video hiyo mpya iliyoongozwa na Meji Alabi wa Nigeria. Hopefully video itakua nzuri sana!!! Go Kibaaaa!!!

Author

Advertisement

 
Top