Mtalam III Mtalam III Author
Title: Uvumilivu umemshinda Zari ‘The Boss Lady’, aamua kuyaongea haya
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea com...
Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofauti tofauti kwenye page yake ya Instagram. Leo ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.
Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika:
‘Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo...oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels, pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress????’

Ameendelea kwa kuandika mengine kwa kiingereza na nitatafsiri...
‘HAYA NI MAISHA YANGU na sasa your all Gods’ judges now... how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? (ni watu wangapi tunawajua wanavaa Hijab lakini mioyo yao sio misafi? ni wangapi wenu mnaigiza kuwa wasafi kwenye hizi siku 30 lakini miezi 11 iliyobaki ni waovu?) How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen’

Kwenye sentensi nyingine kaandika:
‘Now u wana come here and judge my faith by the dress???? Allah bless all of you... atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani Habari na kazi mnayo... like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed’

Source: Millard Ayo

Author

Advertisement

 
Top