Baada ya kutoka pande za Sauzi, ambapo licha ya kufanya collabo na msanii wa huko anayeitwa Donald Daniels, mkali wa Afro-Pop, Diamond alikuwa kwenye mchakato wa usambazaji wa wimbo wake mpya (Nana ft. Mr Flavour).
Mchakato huo ambao mwenyewe anauita #NanaMediaTour sasa anaupeleka Lagos, Nigeria. Msanii wetu au Mtanzania mwenzetu anajituma kuiletea sifa nchi yetu... lets support him. Hizi hapa ni baadhi ya picha alizopiga akiwa Airport!

Diamond na fans wake