Watu wengi walikua wakilalamikia uchelewaji wa Videoz za Msanii wa Bongoflava, Ali Kiba a.k.a King Kiba. Nafikiri ni mipango tuu na kutaka kutoa video ya uhakika. Wimbo wake wa ‘Chekecha Cheketua’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita ndo wimbo ambao video yake inasubiriwa kwa hamu.
Video hiyo imeongozwa na Meji Alabi, Director mkubwa sana kutoka Nigeria. King Kiba ameamua kuziachia baadhi ya picha zilizopigwa akiwa kwenye mchakato wa shooting ya video hiyo!
Now what do you think? Video itakua kali? Itakamata Afrika kama video za wasanii wengine wa Tanzania? God bless you Kiba!
Video hiyo imeongozwa na Meji Alabi, Director mkubwa sana kutoka Nigeria. King Kiba ameamua kuziachia baadhi ya picha zilizopigwa akiwa kwenye mchakato wa shooting ya video hiyo!
Ali Kiba akiwa na Meji Alabi (Director anayeongoza video ya Chekecha)