Diamond anazidi kufanya wonders! Hii imedhiirika baada ya kupata nafasi ya kwenda kupiga Show moja ya heshima, Tuzo za Michezo zitakazofanyika huko Nigeria.
Sasa baada ya juzi kukwea pipa mpaka nchini humo, Diamond amekutana na wakali kadhaa kutoka Nigeria. Millard ayo imeandika mambo mengi pamoja na mambo ambayo Diamond amesifiwa na kuombwa na P-Square. Mtandao huo umeandika hivi:
"Tuzo tatu alizoshinda kwenye tuzo za Channel O mwaka 2014 zimezidi kumuongezea nguvu Diamond Platnumz ambae kwa sasa yuko Nigeria akijiandaa kupanda kwenye stage ya tuzo za Wanasoka Afrika akiwa kwenye list na wasanii kutoka Nigeria, DRC Congo na South Africa.
Wakati Diamond amemaliza kufanya mazoezi kwenye ukumbi kunakofanyika show yenyewe alikutana na Paul wa P-Square ambae ndio alianza kumtambua Diamond na kumchangamkia sana kama watu wanaofahamiana, walipopiga stori akamwambia Diamond kwamba ‘inabidi tufanye kazi’.
Baadae walikutana tena kwenye chumba cha hoteli, Diamond, Mr. Flavour, P-Square na M.I ambapo wote hawa wameonyesha kumkubali Diamond, kwenye time hiyo kama Wasanii walikua na gitaa lao na wakaanza kupiga freestyle zao.
P-Square ndio wameonyesha kumkubali sana Diamond ambapo Peter mwenyewe ndio amekua na kumbukumbu na kumtajia Diamond nyimbo anazozipenda ambazo ni ‘nitampata wapi’ na ‘mdogo mdogo’ ambayo alishindwa kuitaja jina akamwambia the one you say Thomaaas!! yani ile unayosema Thomaas."
Ikumbukwe kwamba kuna wakati P-Square walipokuja Tanzania mara ya mwisho walipooulizwa kwamba wanamfahamu Diamond wakajibu hawamfahamu. Ila sasa wenyewe ndo wamemjua, wamemchangamkia na kuomba collabo. S/O to Mondi Bin Laden.
Source: Millardayo.
Diamond & Peter wa P-Square