Mtalam III Mtalam III Author
Title: Nay wa Mitego aendelea kumrushia madongo Nikki Mbishi?
Author: Mtalam III
Rating 5 of 5 Des:
Msanii Nay wa Mitego anaendelea kumrushia madongo Rapper Nikki Mbishi ambaye siku chache zilizopita ametangaza kuachana na Muziki na kuam...
Msanii Nay wa Mitego anaendelea kumrushia madongo Rapper Nikki Mbishi ambaye siku chache zilizopita ametangaza kuachana na Muziki na kuamua kujihusisha na Kilimo.
Nay wa Mitego

Kwa mujibu wa Post yake kwenye FB, Nay wa Mitego alionekana dhahiri akiwa ameandika ujumbe ambao kwa kweli unamuhusu Nikki Mbishi. Bado Rapper huyo wa Tamaduni Music hajarudisha mashambulizi. Haya hapa madongo ya Nay wa Mitego:

“Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu. au yawezakua kick ikuboost kwa wasiokujua kama ulikua unafanya music. #KilimoUti #waMgongo #teamAkadumba”


Author

Advertisement

 
Top